Fahamu kuhusu Kimbunga Jobo kinachotarajiwa kuikumba Tanzania - EDUSPORTSTZ

Latest

Fahamu kuhusu Kimbunga Jobo kinachotarajiwa kuikumba Tanzania

Baada ya kutangazwa ujio wa kimbunga Jobo kwenye Pwani ya Afrika Mashariki hada Dar Es Salaam, Tanga, Zanzibar, Mtwara na Lindi.Vyombo mbalimbali vya Habari vya Kimataifa ikiwemo Aljazeera na CNN vimeripoti kuwa kuna uwezekano wa Kimbunga Jobo kuikumba Tanzania Weekend hii.

Iwapo Kimbunga kitatokea haitokua mara ya kwanza kwa Tanzania kukumbwa na kimbunga kwani historia inaonesha kiliwahi kutokea kimbunga kingine kwenye karne ya 19.

Kimbunga cha kwanza kiliikumba Zanzibar mwaka 1872 na miaka 80 baadaye Kimbunga kingine kiliikumba Lindi mwaka 1952.

Lakini pia wakieleza kitaandamana na mvua kubwa na upepo. Watanzania wanaoishi maeneo tajwa wanaombwa kuchukua tahadhari mapema kabla ya kukumbwa na kimbunga hicho.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.