Epl, Ligue 1, Serie A Na Bundesliga Kuunguruma Wikiendi Hii-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Epl, Ligue 1, Serie A Na Bundesliga Kuunguruma Wikiendi Hii-Michezoni leo

Kipenga cha soka kupulizwa tena wikiendi hii. Wakati ulimwengu wa soka ukiendelea kufuatilia kwa ukaribu suala la European Super League [ESL], unaweza kubashiri kwenye soka kunako ligi mbalimbali zinazoendelea wikiendi hii.

 

Kunako EPL, Arsenal watawaalika Everton katika dimba la Emirate Stadium ijumaa hii. Nafasi ya kucheza Ligi ya Europa ndio kitu cha msingi kwa timu hizi. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.05 kwa Arsenal.

 

Kwenye Bundesliga Jumamosi hii ni vuta n’kute. Wolfsburg vs Borussia Dortmund. Dortmund waligoma kujiunga na ESL na hali yao sio shwari kunako msimamo wa Bundesliga msimu huu, dakika 90 zitawapa matumaini ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao? Ifuate Odds ya 2.35 kwa Dortmund kupitia Meridianbet.

 

Kule London kutakua na mchezo wa London Derby. West Ham United kuwaalika mahasimu wao Chelsea katika dimba la London Stadium. Tofauti ya magoli ndio kitu pekee kinachozitofautisha timu hizi katika nafasi ya 4 na 5 kwenye msimamo wa EPL. Ifuate Odds ya 1.95 kwa Chelsea kwenye Meridianbet wikiendi hii.

 

Jumapili hii ulimwengu wa soka utashuhudia upinzani wa Leeds United vs Man United pale Elland Road. Mchezo wa kwanza, United alishinda kwa matokeo ya 6-2 pale OId Trafford, Leeds ameonesha ubora wake kwa michezo ya hivi karibuni. Jumapili hii hali itakuwaje? Meridianbet tumekusogezea Odds ya 1.95 kwa Man United.

 

Kule kwenye Ligue 1, Olympique Lyonnais kupambana na Lille jumapili hii. Timu mbili zenye upinzani mkubwa kwa vinara wa ligi hiyo – PSG ndani ya uwanja mmoja. Ifuate Odds ya 2.25 kwa Lyon wikiendi hii ndani ya Meridianbet.

 

Imalize wikiendi yako na kuianza wiki mpya kwa kubashiri kwenye mchezo wa Serie A jumatatu hii. Lazio uso kwa uso na AC Milan. Nani kuchomoka na matokeo ya kibingwa? Meridianbet tumekusogezea Odds ya 2.40 kwa Lazio jumatatu hii.

 

The post Epl, Ligue 1, Serie A Na Bundesliga Kuunguruma Wikiendi Hii appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.