Diva Loveness Amchana Anjella wa Konde Gang "Sitaki Undugu wa Ghafla" - EDUSPORTSTZ

Latest

Diva Loveness Amchana Anjella wa Konde Gang "Sitaki Undugu wa Ghafla"

 


Mwanadada @divatheebawse Afunguka Ya Moyoni Kuhusu @anjella_tz Diva Kafunguka Mambo Yote Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram, Ambapo Aliandika Ujumbe Ufuatao;


“Ukweli Sijawahi Ki follow hiki kitoto ila kilikuwa kinani follow ..

nilipokisema kimeimba sukari vibaya kika ni unfollow 😂😂😂 uliimba vibaya buana mi sipindishi maneno mi nasema ukweli kabisa .. na narudi katika radio this 2021 sitaki udugu wa ghafla maana nawajua wasanii dizaini yako mkitakaga Promo na airtime ... maana ntarud kwa kishindo hasaaa..😂😂 sema yan mi siko radio wala tv ila natikisa na insta yangu tu kutoa makavu live ... we skia fanya mazoezi kuwa msanii bora tutakusifu ukiimba off key kama kawa apa tutakupost na kusema ukweli ... habari ndio hio..tushavurugwa watu hatuogopi..ukifanya vizuri ntasema ukiharibu ntasema na ndio utanyooka kesho keshokutwa kabla ya kuimba utajua njia sahihi ..hili ni darasa huru...facts only no hate dogo ..Pambana uwe msanii mkali kama zuchu ..uwe unaskiza wakubwa zako ...😂😂😂no teams no sides na matusi kwangu majiiiii ...ila ukweli hapahapa tu kwann tuzuge buana ..anaekupenda anakwambia ukweli siku ile uliyakoroga shogaa..kipenzi siku ile hapana ...mh..ila kwenye ngoma zako nahisi utafanya vizur ..maana ni studio session kutakuwa na ufundi ila utakaa sawa ...

“True ignorance is not the absence of knowledge, but the refusal to acquire it.”

✍🏽 Karl R Popper”No comments:

Post a Comment