DEMBELE AIFUNGIA BAO PEKEE BARCELONA YAICHAPA REAL 1-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

DEMBELE AIFUNGIA BAO PEKEE BARCELONA YAICHAPA REAL 1-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MSHAMBULIAJI Mfaransa, Ousmane Dembele akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Barcelona dakika ya 90 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Real Valladolid kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja Camp Nou.
Kwa ushindi huo, Barcelona inafikisha pointi 65 na kurejea nafasi ya pili, wakiizidi pointi mbili Real Madrid, wote wakiwa nyuma ya Atletico Madrid yenye pointi 66 baada ya timu hizo zote kucheza mechi 29
 


No comments:

Post a Comment