COASTAL UNION YAWACHAPA RUVU SHOOTING 2-1 LIGI KUU LRO UWANJA WA MKWAKWANI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

COASTAL UNION YAWACHAPA RUVU SHOOTING 2-1 LIGI KUU LRO UWANJA WA MKWAKWANI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Coastal Union wamewachapa Ruvu Shooting 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwakwani Jijiji Tanga.
Mabao ya Coastal Union leo yamefungwa na Rashid Chambo dakika ya 42 na Ayoub Masoud dakika ya 63, wakati la Ruvu Shooting limefungwa na Fully Zullu Maganga dakika ya 21.
Kwa ushindi huo Coastal Union inayofundishwa na mchezaji wake wa zamani, Juma Mgunda inafikisha pointi 33 baada ya kucheza mechi 26 na kusogea nafasi ya tisa kutoka ya 11, wakati Ruvu Shooting ya kocha Charles Boniface Mkwasa inabaki na pointi zake 34 za mechi 25 sasa katika nafasi ya nane.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz