CHELSEA YATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

CHELSEA YATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

LICHA ya kuchapwa 1-0 na FC Porto jana, timu ya Chelsea ya England imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa jumla wa 2-1 katika mchezo wa kwanza wiki ilioypita, mechi zote zikichezwa Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan Jijini Sevilla, Hispania.
Bao la Porto jana lilifungwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Iran, Mehdi Taremi dakika ya 90 na ushei na Chelsea sasa itakutana na mshindi wa jumla kati ya Real Madrid na Liverpool zinazomenyana leo Uwanja Anfield. Real ilishinda 3-1 mechi ya kwanza nyumbani.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz