CHELSEA YAICHAPA PORTO 2-0 HISPANIA LIGI YA MABINGWA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

CHELSEA YAICHAPA PORTO 2-0 HISPANIA LIGI YA MABINGWA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABAO ya nyota wa England, kiungo Mason Mount dakika ya 32 na beki Ben Chilwell dakika ya 85 jana yaliipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya FC Porto ya Ureno katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla, Hispania.
Timu hizo zitarudiana Aprili 13 Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London na mshindi wa jumla atakutana na mshindi wa jumla baina ya Real Madrid na Liverpool. Real ilishinda 3-1 mechi ya kwanza juzi Hispania.


No comments:

Post a Comment