“Chama kikifukuza wanachama wao uamuzi wao uheshimiwe” Nape - EDUSPORTSTZ

Latest

“Chama kikifukuza wanachama wao uamuzi wao uheshimiwe” Nape

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) amesema Demokrasia ni pamoja na kuheshimu Taasisi zinazounda Demokrasia ikiwemo Vyama vya Siasa.

Nape amesema “Sasa hivi kuna Wanachama wapo Bungeni wa CHADEMA lakini CHADEMA ilishawafukuza. Kwanini wapo Bungeni? Wanatakiwa wasiwepo. Tufuate Sheria”

Asema Mfumo wa Vyama vingi ulipokuja Katiba ilibadilishwa na Tume mbalimbali zilipendekeza namna ya kuendesha Vyama vingi ikiwemo Tume ya Jaji Nyalali.

Amesisitiza “Tumepitia Milima na mabonde kwenye Siasa hadi hapa tulipofikia. Wapo walioumia na Wengine kufurahi. Rais Samia katoa Uwanja wa Meza ya Mzungumzo. Kwakuwa yupo tayari kukaa meza moja, basi tusikatae mazungumzo”.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.