Caf Yaruhusu Mashabiki 10,000 kwa Mkapa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Caf Yaruhusu Mashabiki 10,000 kwa Mkapa-Michezoni leo

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeiruhusu timu ya Simba kuingiza washabiki 10,000 katika mechi yao ligi ya Mabingwa, dhidi ya AS Vita kutokana na maombi ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF).

Simba inatarajiwa kuikaribisha As Vita kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia  Kongo (DRC) jumapili Aprili 3, kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.

Klabu ya Simba inaongoza msimamo wa kundi A wakiwa na alama 10, wakihitaji sare ili kujihakikishia nafasi ya Robo fainali, lakini wanahitaji kushinda mchezo huo ili wajiweke kwenye mazingira mazuri ya kuongoza kundi ili kuepuka adha ya kupangwa na vigogo kwenye hatua ya robo fainali.

The post Caf Yaruhusu Mashabiki 10,000 kwa Mkapa appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.