CAF YARUHUSU MASHABIKI 10,000 KUINGIA UWANJA WA MKAPA MECHI YA SIMBA SC NA AS VITA JUMAMOSI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

CAF YARUHUSU MASHABIKI 10,000 KUINGIA UWANJA WA MKAPA MECHI YA SIMBA SC NA AS VITA JUMAMOSI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeiruhusu timu ya Simba kuingiza mashabiki 10,000 katika mechi yao ya Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) itakayochezwa Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Hatua hiyo inafuatia maombi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na mchezo huo utaonyeshwa moja kwa moja na chaneli ya ZBC 2 inayopatikana kwenye kisimbuzi cha Azam Tv.
Simba inayoongoza Kundi kwa pointi zake 10, tatu zaidi ya mabingwa watetezi, Al Ahly ya Misri inahitaji sare tu kujikatia tiketi ya Robo Fainali.
AS Vita ni ya tatu ikiwa na pointi nne, mbele ya El Merreikh ya Sudan inayoshika mkia ikiwa na pointi moja tu.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.