Breaking: Wachimbaji Wanne Wafariki Busega - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking: Wachimbaji Wanne Wafariki Busega

Wachimbaji wanne wamepoteza maisha huku mmoja akijeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi wa dhahabu wa Namba Mbili uliopo kijiji cha Ilujamate Wilaya ya Busega Mkoa wa Simiyu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Richard Abwao amesema ajali hiyo ilitokea kutokana na kuporomoka kwa kuta za duara kuporomoka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mji wa Bariadi Somanda, Dk Costantine Yohane amesema wamepokea miili minne ya marehemu katika hospitali hiyo ambayo imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhi maiti huku hali ya majeruhi mmoja ikiendelea vizuri.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz