Billsepenga amtuhumu Lord Eyes kwa kumshambulia - EDUSPORTSTZ

Latest

Billsepenga amtuhumu Lord Eyes kwa kumshambuliaMtangazaji wa show ya Friday Night Live ya East Africa TV Billsepenga, amemfungulia kesi msanii wa HipHop kutoka kampuni ya Weusi, Lord Eyes kwa kumshambulia na kumdhalilisha nje ya sehemu moja ya starehe iliyopo Masaki Dar es Salaam.Billsepenga ametoa taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa Instagrama ambapo ameeleza kuwa.

"Alfajiri ya leo nimeshambuliwa na kudhalilishwa na maeneo ya Masaki na msanii Lord Eyes, nimefungua kesi Oysterbay na nikipatwa na tatizo lolote naomba yeye awe mtuhumiwa wa kwanza kwa kibaya kitachonitokea ( Joh Makini, Nikki wa Pili Lord Eyes na Gnako Warawara ) ahsante" ameandika Billsepenga 

EATV & EA Radio Digital, imejaribu kumtafuta Billsepenga atoelee maelezo kuhusu chanzo cha tatizo hilo lakini kwa bahati mbaya hakuweza kushika simu yake.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.