Bayern Munich Kufumuliwa Juu Chini-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Bayern Munich Kufumuliwa Juu Chini-Michezoni leo

KLABU ya Bayern Munich inatarajiwa kuhusika katika kufanya mabadiliko makubwa klabuni hapo mara baada ya kuondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bayern iliondolewa katika Robo Fainali ya michuano hiyo na vigogo wa Ufaransa, Paris Saint-Germain, Jumanne ya wiki hii na hivyo kuvuliwa ubingwa.

 

Taarifa kutoka Ujerumani zinaeleza kuwa kunatarajiwa kufanyika mabadiliko makubwa kuanzia ndani hadi nje ya uwanja baada ya matokeo hayo.Kwanza ni majaliwa ya kocha wao, Hansi Flick ambaye inaonyesha wazi kuwa hatakuwa klabuni hapo msimu ujao.

Kocha huyo amekuwa na msuguano na Mkurugenzi wa Michezo wa Bayern, Hasan Salihamidzic, lakini pia kocha huyo anatajwa kuwa anaweza kuchukua mikoba ya Joachim Low katika timu ya taifa ya Ujerumani.

 

Mwishoni mwa msimu huu pia kutakuwa na wimbi kubwa la wachezaji wanaotarajiwa kuondoka wakiwemo Jerome Boateng, Javi Martinez na David Alaba.

Bayern inataka kuziba mapengo yao kwa kuwatumia Dayot Upamecano, Lucas Hernandez, Niklas Sule na Tanguy Nianzou.

Mkurugenzi Mtendaji Karl-Heinz Rummenigge ataondoka na nafasi yake itachukuliwa na kipa wa zamani wa timu hiyo, Oliver Kahn.

The post Bayern Munich Kufumuliwa Juu Chini appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz