Basi la Simba SC Lawekwa Sokoni-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Basi la Simba SC Lawekwa Sokoni-Michezoni leo

MWAKA mpya na mambo mapya ndani ya kikosi cha Simba, mara baada ya kuliweka sokoni basi lao la timu ambalo wamekuwa wakilitumia kwa zaidi ya miaka mitano sasa.

Viongozi wa Simba wameyasema hayo baada ya kusambaa picha mitandaoni zikionyesha basi jipya likiwekwa stika zenye nembo za klabu hiyo.

Mtendaji Mkuu wa Simba, Barabara Gonzalez aliliambia Championi Jumamosi kuwa, wapo kwenye mpango wa kubadilisha basi hilo na kununua jipya, hivyo wameliweka sokoni basi lao la sasa ili wapate fedha ya kuongezea gharama za kununua basi jipya.

“Unajua hata ukitaka kununua simu mpya, lazima uuze ile ya zamani kwanza, kisha uongeze hela za kununua hiyo simu. Ndiyo tulichokifanya sisi tunataka kuliuza basi letu la zamani ili tununue jipya,” alisema Barbara

STORI: ISSA LIPONDA NA MARCO MZUMBE

The post Basi la Simba SC Lawekwa Sokoni appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.