Baadhi ya Mali za Hotel ya Ngurdoto Zauzwa Kulipia Madeni ya Mishahara Milion 129 - EDUSPORTSTZ

Latest

Baadhi ya Mali za Hotel ya Ngurdoto Zauzwa Kulipia Madeni ya Mishahara Milion 129

Baadhi ya mali za Hotel ya Kitalii ya Ngurdoto Mountain iliyopo Usa River, Wilayani Arumeru zimetakiwa kupigwa mnada ili kufidia mishahara ya watu 93 waliokuwa Wafanyakazi wa Hoteli ambao wanadai Tsh. Milioni 129

Amri hiyo imetolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Masijala Ndogo ya Kazi. Naibu Msajili wa Mahakama, John Nkwabi alitoa maamuzi hayo Aprili 26 ambapo kesi hiyo yenye namba 140 ya mwaka 2020, ilisajiliwa Oktoba 16 Mwaka 2020

Mali zitakazopigwa mnada ni vitanda 139, Gari aina ya Coaster yenye namba za usajili T847 DPH, kiwanja namba 418 kilichopo Block A eneo la Leganga, Usa River, na mashine nne za kufulia nguo

Dalali wa Mahakama ametakiwa kuzikamata mali hizo na kusuburi amri ya Mahakama itakayotolewa Mei 4, 2021Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz