AZAM FC YAREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA MTIBWA SUGAR 2-0 MABAO YOTE KAFUNGA PRINCE DUBE-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

AZAM FC YAREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA MTIBWA SUGAR 2-0 MABAO YOTE KAFUNGA PRINCE DUBE-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Pongezi kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Prince Dube Mpumelelo aliyefunga mabao yote hayo, la kwanza kwa penalti dakika ya tisa na lingine dakika ya 87 akimalizia pasi ya kiungo Mzanzibari, Mudathir Yahya Abbas.
Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 47 baada ya mechi 25 na kupanda nafasi ya pili ikizidiwa pointi tatu na vigogo, Yanga SC ambao hata hivyo wana mechi mbili mkononi.
Mabingwa watetezi, Simba SC ni wa tatu wakiwa na pointi 46 za mechi 20.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz