AZAM FC NA BIASHARA UNITED ZATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUZITOA POLISI TANZANIA NA RUVU SHOOTING LEO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AZAM FC NA BIASHARA UNITED ZATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUZITOA POLISI TANZANIA NA RUVU SHOOTING LEO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Mabao ya Azam FC katika mchezo huo wa michuano hiyo inayojulikana pia kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) yote yamefungwa na mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo dakika za 25 na 65, wakati la Polisi limefungwa na Marcel Boniventura Kaheza dakika ya 76 kwa penalti.
Mechi nyingine ya 16 Bora ya ASFC leo wenyeji, Biashara United wameitoa Ruvu Shooting kwa penalti 4-1 kufuatia sare ya 1-1 Uwanja wa Karume mjini Musoma mkoani Mara.
Azam na Biashara zinaungana na Rhino Rangers ya Tabora kutinga Nane Bora ambayo jana iliitoa Arusha FC kwa kuichapa mabao 2-1 Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz