Aliyefukuzwa Kazi Kwa Kurekodi Ndege ya China Ikitua Kenya Arudishwa Kazini - EDUSPORTSTZ

Latest

Aliyefukuzwa Kazi Kwa Kurekodi Ndege ya China Ikitua Kenya Arudishwa KaziniMfanyakazi wa Shirika la Ndege la Kenya, Ali Gire kurejea kazini baada ya shirika hilo kufuta barua ya kumtimua kwa kurekodi video ya ndege ikitua Nairobi ikiwa na abiria 239 ikitoka China

Haya yamebainika leo katika Mahakama moja Jijini Nairobi ambapo Maafisa wa Shirika hilo (KQ) wamemthibitishia Jaji Weldon Korir kwamba hatashtakiwa

Alikuwa ametimuliwa kwa kurekodi video ya ndege ya China Southern Airlines ikitua katika Uwanja wa Jomo Kenyatta ikitokea China ambapo ndio chimbuko la #coronavirus

Mahakama Kuu tayari ilikuwa imezuia Ali ambaye ni Afisa wa usalama katika Uwanja wa Kimaifa wa Jomo Kenyatta, kukamatwa au kufunguliwa mashtaka

Haya yanajiri siku moja baada ya Waziri wa Uchukuzi, James Macharia kuwaambia Wabunge kwamba Ali ni mtu aliyetekeleza uhalifu anayefaa kukumbana na mkono wa sheria

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz