Yanga Yatenga Mechi 12-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga Yatenga Mechi 12-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

 

UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa bado una nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara licha ya kuwa kwenye mwendo wa kusuasua mzunguko huu wa pili.

 

Yanga ambayo ilianza mzunguko wa kwanza kwa kasi, iligeuka ghafla mzunguko wa pili ambapo chini ya Kocha Cedric Kaze ambaye amefutwa kazi Machi 7, ilicheza mechi 6 na kuambulia ushindi mara moja, sare nne na kupoteza moja.

 

Mshindo Msolla, Mwenyekiti wa Yanga, amesema baada ya timu hiyo kucheza mechi 12 zijazo za ligi ambapo kwa jumla watakuwa wamecheza mechi 35 msimu huu na kubaki tatu kumaliza ligi, tayari itakuwa imesharejea kwenye reli ya kutwaa ubingwa.

 

“Ikiwa utasema kwa sasa tukate tamaa kuhusu ubingwa hilo sio sawa, baada ya mechi 12 za ligi zitatoa picha ya kile ambacho tunakihitaji, mashabiki wasiwe na mashaka, kila kitu kitakuwa sawa na inawezekana.“

 

Mzunguko wa pili ushindani ni mkubwa na kila timu inapambana kusaka ushindi hivyo kinachotakiwa ni kuzidi kupambana na maandalizi mazuri katika mechi zetu, tunachotakiwa ni kupata matokeo chanya, hakuna jambo lingine.”

The post Yanga Yatenga Mechi 12 appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.