Yanga Yafunguka Sababu ya Kumtimua Kaze-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga Yafunguka Sababu ya Kumtimua Kaze-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

MWENYEKITI wa Kamati ya Ufundi ndani ya Klabu ya Yanga, Dominick Albinus amesema kuwa sababu kubwa iliyowafanya waachane na benchi lao la ufundi ni matokeo mabaya ambayo yalikuwa yakipatikana ndani ya uwanja.

 

 

Jana, Machi 7, benchi la ufundi la Yanga lililokuwa likiongozwa na Kocha Mkuu, Cedriec Kaze, msaidizi wake Nizar Halfan, kocha wa viungo Edem Mortoisi, kocha wa makipa Vladimir Niyonkuru pamoja na Ofisa Usalama Mussa Mahundi walichimbishwa.

 

 

 

Mchezo wao wa mwisho ilikuwa mbele ya Polisi Tanzania, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ambapo ubao ulisoma Polisi Tanzania 1-1 Yanga. Bao la Yanga lilifungwa mapema na Fiston Abdulazack likawekwa sawa na Pius Buswita dakika ya 89.

 

 

 

Mwenyekiti amesema:”Ilikuwa ni makubaliano kwetu na kila mmoja aliwa anajua kwamba tunahitaji kupata matokeo na mwisho wa siku tumekuwa tukipata matokeo mabovu ambayo hayapendezi.

 

 

 

“Ikiwa timu haipati matokeo wa kuwatazama ni benchi la ufundi kwa kuwa wao wanatambua kwamba namna gani inahitajika kufanyika ndani ya uwanja hivyo hii ni hatua ya mwanzo na kazi inaendelea kwa wachezaji kwa kuwa nao tumewaambia kwamba wao ni sababu.

 

 

 

“Wachezaji tumewaambia kwamba tumeondoa benchi la ufundi kwa kuwa hakuna matokeo na ikitokea na wao pia tukagundua kwamba hakuna ambaye anajituma basi itakuwa kazi kwake,” amesema.

 

 

 

Kaze alisaini dili jipya ndani ya Yanga Oktoba 16 baada ya kutua usiku wa Oktoba 15 huku Nizar na Edem wakitua ndani ya Yanga Januari 27 na kufutwa kazi Machi 7.

The post Yanga Yafunguka Sababu ya Kumtimua Kaze appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.