Yanga: Coastal Union Watatukamia-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Yanga: Coastal Union Watatukamia-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa anaamini wapinzani wao Coastal Union watawakamia ndani ya Uwanja wa Mkwakwani ili kupata matokeo.

 

 

Machi 4, Coastal Union inayonolewa na Juma Mgnda itawakaribisha Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkwakwani.

 

 

Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Yanga ilishinda mabao 3-0. Yanga ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 49 inakutana na Coastal Union iliyo nafasi ya 13 na pointi zake kibindoni ni 23.

 

 

Kaze amesema: “Tunajua kwamba utakuwa mchezo mgumu na wapinzani wetu watatukamia ili kupata matokeo chanya hivyo nasi pia tutapambana kufanya vizuri.

 

 

“Tunachohitaji ni ushindi hilo lipo wazi na kila mchezaji anatambua kwamba tunahitaji ushindi, kikubwa ni kupata pointi tatu ndani ya uwanja,” amesema.

The post Yanga: Coastal Union Watatukamia appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz