Wezi wapuliza dawa ya usingizi, wawaibia wafiwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Wezi wapuliza dawa ya usingizi, wawaibia wafiwa

Pwani. Polisi mkoani Pwani wamekamata vifaa mbalimbali vilivyoibiwa katika msiba eneo la Mlandizi, Kibaha.

Akizungumza leo Alhamisi Machi 11, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa amesema vifaa hivyo vimeibiwa baada ya watu wanaodhaniwa kuwa wezi kufika  kwenye msiba wa mkazi mmoja wa Mlandizi  na kuwapulizia dawa ya usingizi baadhi ya waombolezaji na wafiwa.

“Watu walikuwa wamekwenda kuzika na wengi walitawanyika, wale wachache waliokuwa wamebaki   ilipofika usiku waliingia vyumbani kulala, hawa wezi walipulizia dawa ya usingizi na wafiwa walilala usingizi mzito ikawa rahisi kwao kuvunja kufuli, kuingia ndani na kuiba,” amesema

Ametaja baadhi ya vitu vilivyoibiwa ni televisheni na simu za mkononi  na kubainisha kuwa katika ufuatiliaji wa tukio hilo watuhumiwa kadhaa wamekamatwa wakiwa na simu mbili na televisheni hiyo, polisi bado wanaendelea kuwasaka wengine.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.