Waziri Aagiza Kushuka Kwa Ada Ya Kusajili Online Tv Na Blogs-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Waziri Aagiza Kushuka Kwa Ada Ya Kusajili Online Tv Na Blogs-Michezoni leo

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ameitaka Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) kushusha ada za usajili wa ‘Blogs’ na ‘Online TVs’ ili vijana wajiajiri.

Ametoa muda wa mwezi mmoja kuhakikisha Sheria zote zimepitiwa na muda wa usajili wa mitandao hiyo umefunguliwa, ambapo awali TCRA ilitangaza kusitisha kusajili.

Katika hatua nyingine ameitaka Wizara yake kuharakisha Mabadiliko ya Sheria na Sera, ikiwemo mabadiliko ya Sera ya Posta huku akiwasisitiza majukumu ya Posta yalindwe

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz