Wanawake wa China wana akiba kubwa ya fedha kuliko Wanaume - EDUSPORTSTZ

Latest

Wanawake wa China wana akiba kubwa ya fedha kuliko WanaumeRipoti iliyotolewa na Taasisi ya Fedha ya Jumuishi ya China International Forum for China Financial Inclusion imeonesha kuwa, kutokana na wastani wa thamani unaolinganishwa kati ya wanawake na ule wa wanaume, alama za jumla za uwezo wa kifedha wa wanawake ni wa juu zaidi.

Wanawake wameonekana kuwa ni hodari zaidi kuliko wanaume kwenye usimamizi wa matumizi ya fedha wakati wa siku za kawaida, huku wanaume wakionesha uhodari zaidi kuliko wanawake katika uwekezaji katika siku zijazo.

Utafiti kuhusu uwekezaji na usimamizi wa fedha wa wanawake duniani, pia umeonesha kuwa kati ya masoko yote yaliyohusishwa katika utafiti huo, China ni sehemu ya kipekee ambayo wanawake wana akiba kubwa zaidi ya fedha kuliko wanaume, na asilimia 73 ya wanawake wa China wanashughulikia mpango wa fedha na uwekezaji.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz