Wananchi Waonywa Kuchukua Mchanga Kaburi la Maalim Seif - EDUSPORTSTZ

Latest

Wananchi Waonywa Kuchukua Mchanga Kaburi la Maalim Seif
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Salama Mbarouk Khatib ametoa onyo kwa watu wanaochukua mchanga wa kaburi la Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad kwani utaratibu huo haukubaliki.

Watu wanaokwenda kumuombea Dua Maalim Seif aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar wamekuwa na tabia ya kuchukua mchanga wa kaburi kwa madai unanukia Miski.RPC wa Kaskazini Pemba, Juma Sadi Khamis amesema watu wanaruhusiwa kwenda kumuombea dua marehemu lakini amewaonya kuchukua mchanga wa kaburi kwa sababu yoyote.

Maalim Seif Sharif Hamad ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, alifariki dunia Februari 17, 2021.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.