Waganga wa Shinyanga wauwa fisi 11 Geita - EDUSPORTSTZ

Latest

Waganga wa Shinyanga wauwa fisi 11 GeitaHalmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale  mkoani Geita, imeendesha operesheni kupitia waganga wa jadi kutoka Shinyanga na kufanikiwa kuwaua fisi 11.Hatua hiyo imekuja ikiwa ni wiki mbili baada ya fisi kuuwa watoto watatu na kujeruhi watu zaidi ya wanane.

Pia wameweka mpango wa kuanza operesheni kwa ajili ya kuwasaka fisi wanaofugwa majumbani.

Mkuu wa Wilaya hiyo Wilson Shimo amesema waliamua kutumia waganga wa jadi kusaka fisi hao, kwa sababu wanahusushwa na imani za kishirikina.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.