Wachezaji 8 wa Al Merreikh Wakutwa na Corona-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Wachezaji 8 wa Al Merreikh Wakutwa na Corona-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Wachezaji nane (8) wa Klabu ya Al Mereikh ya nchini Sudan wamegundulika kuwa na maambukizi ya Virusi vya Corona mara baada ya kufanyiwa vipimo, hivyo wataukosa mchezo wa leo dhidi ya Simba Sc.

Wachezaji hao ni Abu Twenty (31), Jamal Salem (27), Bakhit Khamis (33), Abdul Rahman Karnqo (33), Tony (34), Jamaican (35), Ramadan (34), Bakry, Dia Al-Din (30) Jacob (32) na Mohammed Al-Rashid.

Mchezo huo wa marudiano wa kundi A la Ligi ya Mabingwa Barani Afrika utapigwa leo jioni katika Dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam.

The post Wachezaji 8 wa Al Merreikh Wakutwa na Corona appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz