"Uoga Umenifanya Kuwa Maarufu" - Gigy Money - EDUSPORTSTZ

Latest

"Uoga Umenifanya Kuwa Maarufu" - Gigy Money

Kulekea siku ya wanawake duniani Machi 8 mwanamke kinara leo ni msanii Gigy Money 'Mama Mayra' ambaye amefunguka kusema uoga wake ndio umemfanya kuwa mtu maarufu.Gigy Money ameshea stori na EATV & EA Radio Digital, kwamba mama yake alimzuia kufanya kazi za sanaa hivyo akaamua kutoa uoga wa kundoka nyumbani kwao hadi sasa amekuwa maarufu utokana na ishu ambazo anazifanya.

"Nilizuliwa na mama yangu kuwa muigizaji, nikaondoka nyumbani kwake na sikurudi, niliona nimekosea tayari na nahisi nilimuonyesha dharau ambayo sijawahi kumfanyia, uoga wangu ukanifanya nizidi kuwa Gigy Money na kuwa mtu maarufu na mama yangu hajui nipo wapi" amesema Gigy MoneyJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz