Ujumbe Mzito wa Harmonize kwa Watoto wa kike - EDUSPORTSTZ

Latest

Ujumbe Mzito wa Harmonize kwa Watoto wa kike

Kuelekea siku ya wanawake duniani, msanii Harmonize ametoa wosia kwa watoto wote wa kike ambapo amewaambia  wawe na maamuzi sahihi kwa wanachotaka kufanya kwenye maisha kwa sababu hakuna kitu kipya kwenye dunia.

Akizungumzia hilo kupitia kamera ya EATV & EA Radio Digital, Harmonize amesema akiona mtoto wa kike anakosea basi anahisi kama mwanae Zulekha ndiyo kakosea hivyo amewaomba wafanye vitu kwa wakati sahihi.

"Mtoto wa kike yeyote ambaye ananitazama sasa hivi anatakiwa ajue kwamba yeye ndio ana maamuzi ya kuchagua kutaka kuwa nani lakini hakuna kitu kipya kwenye hii dunia bibi yako, mama, dada na shangazi vyote walishafanya hivyo ni bora kuwa makini na kufanya vitu kwa wakati sahihi" amesema HarmonizeJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz