UGANDA WATINGA FAINALI AFCON U20, KUMENYANA NA GHANA JUMAMOSI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

UGANDA WATINGA FAINALI AFCON U20, KUMENYANA NA GHANA JUMAMOSI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

UGANDA wamefanikiwa kwenda fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 (AFCON U20) baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Tunisia jana Uwanja wa Olimpiki wa Nouakchott.

Nyota wa mchezo wa jana alikuwa Derrick Kakooza aliyepiga hat trick kwa mabao yake ya dalkika za 36, 50 na 73 huku lingine likifungwa na Richard Basangwa dakika ya nne na la Tunisia lilifungwa na Adam Ben Lamin dakika ya 39.

Sasa The Hippos 'Kiboko' wanaingia fainali itakayochezwa Jumamosi na watamenyana na Ghana 'Black Satellites' iliyoichapa Gambia 1-0 jana, bao pekee la Percious Boah dakika ya 34.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz