Thiery Henry Ajiondoa Mitandaoni-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Thiery Henry Ajiondoa Mitandaoni-Michezoni leo

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal, Thiery Henry ameachana na matumizi ya mitandao ya kijamii akishinikiza mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kutokomeza ubaguzi wa rangi dhidi ya watu wenye asili ya Afrika.

Matukio ya ubaguzi yameshika kasi kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni hali inayowapa wasiwasi wachezaji wengi, huku kiungo ‘Fred’ wa Manchester United na Brazil akiwa mchezaji aliyekutana na matukio hayo siku tatu zilizopita.

Henry ambaye hivi karibuni aliacha kuiona klabu ya CF Montreal kutokana na sababu za kifamilia, alichapisha maneno makali kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa ‘Twitter’ akidai kujiondoa kwenye mitandao hiyo.

“Kuanzia kesho asubuhi (leo) nitajiondoa kwenye mitandao ya kijamii mpaka pale watu wenye mamlaka husika watakapodhibiti vitendo hivi kwa nguvu na ukali ule ule ambao wanafanya wakati huu,” aliandika Henry.

The post Thiery Henry Ajiondoa Mitandaoni appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz