Thierry Henry Ajiondoa Katika Mitandao ya Jamii Kisa Ubaguzi wa Rangi - EDUSPORTSTZ

Latest

Thierry Henry Ajiondoa Katika Mitandao ya Jamii Kisa Ubaguzi wa Rangi

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na timu ya Taifa ya Ufaransa, Thierry Henry (43) amejiondoa kwenye mitandao yote ya kijamii kutokana na ongezeko la visa vya ubaguzi wa rangi katika majukwaa hayo.

Henry ambaye alikuwa na wafuasi milioni 2.3 kwenye mtandao wa Twitter amesema visa vya ubaguzi wa rangi mitandaoni vimefikia kiwango cha kutisha kiasi cha kutopuuzwa tena. Kwa mujibu wa Henry, hatarejea tena kwenye mitandao ya kijamii mpaka Kampuni zinazomiliki majukwaa hayo zitakapoanza kukabiliana na suala la ubaguzi wa rangi kwa kiasi sawa na jinsi wanavyopigana na tatizo la kukiukwaji wa haki miliki.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz