TAIFA STARS YAKAMILISHA MECHI ZAKE ZA KUFUZU AFCON KWA KUICHAPA LIBYA 1-0 BAO PEKEE LA MSUVA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

TAIFA STARS YAKAMILISHA MECHI ZAKE ZA KUFUZU AFCON KWA KUICHAPA LIBYA 1-0 BAO PEKEE LA MSUVA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TANZANIA imekamilisha mechi zake za Kundi J kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Libya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, kiungo mshambuliaji wa Wydad Club Athletic ya Morocco, Simon Happygod Msuva aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 45.

Pamoja na ushindi huo, Taifa Stars haijafuzu AFCON kufuatia kuzidiwa kete na Tunisia na Equatorial Guinea zilizoshika nafasi mbili za kwanza na kukata tiketi ya Cameroon mwakani.

Tanzania inamaliza nafasi ya tatu kwa pointi zake saba, nyuma ya Equatorial Guinea yenye pointi tisa, Tunisia pointi 16, wakati Libya yenye pointi tatu imeshika mkia.

xJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz