Stamina afunguka Rais Magufuli kupenda wimbo wake - EDUSPORTSTZ

Latest

Stamina afunguka Rais Magufuli kupenda wimbo wake

Msanii wa HipHop hapa nchini Stamina Shorwebwenzi amesema atamkumbuka Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kila kitu hasa kufanya mambo mengi na makubwa ndani ya muda mfupi ya uongozi wake.

Stamina Shorwebwenzi ameendelea kusema ataomboleza kwa kukumbuka kwa mema yake yote kama kiongozi na wala hatamkumbuka kwa mabaya.

Aidha msanii huyo amezungumzia suala la Rais Magufuli kuupenda wimbo wake wa baba aliomshirikisha Prof Jay ambapo amesema, 

"Kauli kutoka kwa Rais inakuwa sheria kwa hiyo kumfanya Rais aupende wimbo wako sio kitu kidogo ila mpaka nimekuwa mimi ni kitu ambacho ni cha heshima na kimenihimiza sana, nilifurahi na kilinipa nguvu" 

"Kwangu mimi haikuwa kitu cha ajabu kwa sababu hata wimbo wangu wa asiwaze alikuwa anaupenda pia tulivyokuwa kwenye kampeni aliweza kutuambia, niliona vitu ninavyovifanya Rais anavipenda na alikuwa anakubali aina ya muziki wangu" ameongezaJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz