Stamina Afunguka Kuhusu Mama Mtoto Wake - EDUSPORTSTZ

Latest

Stamina Afunguka Kuhusu Mama Mtoto Wake

Msanii wan HipHop Stamina Shorwebwenzi amei-dedicate siku hii ya wanawake duniani kwenda kwa mama wa mtoto wake kwa kusema ni mpambanaji pia alikuwa anakaa getini kukusanya pesa wakati anafanya show mikoani.

Akizungumzia hilo kwenye kipindi cha PlanetBongo ya East Africa Radio, Stamina amesema alishangazwa na kitendo hicho kwani hakutegemea kama mpenzi wake huyo atafanya jambo hilo kwa zaidi ya mikoa 15.

"Ukiachana na mama mzazi siku ya wanawake duniani naipeleka kwa Mama Lionel, kipindi nakutana naye sikutegemea kama ni mpambanaji alinishangaza kwani nilikuwa na ziara zangu za chaka kwa chaka za mikoani akasema twende wote, yeye alikuwa anakaa getini kuchua pesa wakati nafanya show kwenye jukwaa na alikuwa anawakazia kinoma noma" ameeleza StaminaJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.