Solskjaer Akiri Kiwango Man United Kinamtisha-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Solskjaer Akiri Kiwango Man United Kinamtisha-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

OLE Gunnar Solskjaer amekiri kuwa anapata hofu kuhusu kushuka kwa kiwango cha timu yake na kushindwa kufunga mabao baada ya sare ya 0-0 dhidi ya Crystal Palace juzi Jumatano ugenini, ambayo imewafanya wawe nyuma ya vinara, Man City kwa tofauti ya pointi 14.

 

Manchester United sasa imecheza mechi tatu mfululizo bila kupata bao, mbili zikiwa ni za Premier na moja ya Ligi ya Europa.

Kocha huyo wa Man United, amesema: “Wakati mwingine haufikii kile kiwango ulichonacho na ulichokuwa nacho kwa miezi mingi sana. Inaleta hofu bila shaka lakini najua kwamba vijana wanajitoa kwa kila kitu.“

 

Tunacheza kila baada ya siku tatu na najua wanajitoa kwa kila kitu walichonacho. Ninafurahishwa na hilo.” Dean Henderson alidaka badala ya David de Gea ambaye alitajwa hakuwepo kutokana na sababu binafsi, na Dean hakuruhusu bao huku akiiokoa United kufungwa bao dakika ya mwisho.

 

Alipoulizwa kama De Gea atakosekana katika dabi ya Jumapili dhidi ya Manchester City, Solskjaer aliongeza: “Siwezi kuzungumza kuhusu David. Ni suala binafsi. Dean yupo tayari kama akihitajika.”

 

The post Solskjaer Akiri Kiwango Man United Kinamtisha appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz