Simba Yaibana Mbavu Al Merrikh Sudan-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba Yaibana Mbavu Al Merrikh Sudan-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

LICHA ya kupata sare ya bila kufungana dhidi ya Al Merrikh ya Sudan Simba imeendelea kuongoza kwenye msimamo wa kundi A kwa kufikisha alama 7 hivyo kuendelea kujiweka katika mazingira mazuri ya kutinga robo fainali.

 

Mechi hiyo imechezwa leo jioni Machi 6, kwenye dimba la Al Hilal, Khartom Sudan.

 

Simba imeingia kwenye mechi hiyo wakijilinda kwa kumiliki mpira wakati mwingi wa mchezo licha ya Al Merrikh kupata nafasi kadhaa kipindi cha kwanza wakitumia mpira ya krosi na kona lakini umakini wa washambuliaji wao umewakoseha ushindi.

Simba msimu imeweka rekodi baada ya mechi tatu wakiwa hajapoteza mchezo na hawajaruhusu wavu wake kuguswa.

 

Mabingwa hao wa Tanzania wanaongoza msimamo wa kundi A wakiwa na Alama 7 wakifuatiwa na Al Ahly na As Vita wenye alama 3 na Al Merrikh wanaburuza mkia wakiwa na alama 1.

 

The post Simba Yaibana Mbavu Al Merrikh Sudan appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.