SIMBA SC WASAWAZIAHA DAKIKA YA MWISHO KUPATA SARE YA 1-1 NA TANZANIA PRISONS MECHI YA LIGI KUU DAR-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

SIMBA SC WASAWAZIAHA DAKIKA YA MWISHO KUPATA SARE YA 1-1 NA TANZANIA PRISONS MECHI YA LIGI KUU DAR-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM 
MABINGWA watetezi, Simba SC leo wameponea chupuchupu kupoteza mechi nyumbani baada ya kulazimisha sare ya 2-2 na Tanzania Prisons leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Shukrani wake kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Msumbiji, Luis Jose Miquissne aliyeisawazishia bao hilo Simba SC dakika ya tano ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90. 
Na hiyo ni baada ya Prisons, timu inayomilikiwa na Jeshi la Magereza nchini kutangulia kwa bao la Salum Kimenya dakika ya 55. 
Prisons walipata bao hilo baada ya mshambuliaji Simba SC kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Kope Mutshimba Mugalu kutoka kukosa penalti.
Kwa sare hiyo, Simba inayofundishwa na Mfaransa Didier Gomes Da Rosa inafikisha pointi 46 baada ya kucheza mechi 20 na kuendelea kushika nafasi ya pili nyuma ya watani wao wa jadi, Yanga SC wenye pointi 50 za mechi 23. 
Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Joash Onyango, Pascal Wawa, Jonas Mkude, Perfect Chikwende/ Clautus Chama dk55, Muzamil Yassin/ John Bocco dk46, Chriss Mugalu, Rally Bwalya/Bernard Morrison dk66 na Luis Miquissone. 
Tanzania Prisons; Jeremiah Kisubi, Salum Kimenya, Benjamkin Asukile, Vedastus Mwihambi, Nurdin Chona/Dotto Ramadhani dk34, Jumanne Elfadhil, Ezekia Mwashilindi, Lambert Sibiyanka, Samson Mbangula/ Kassim Mdoe dk72, Jeremiah Juma na Adili Buha.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.