Simba Queens Yaitungua Yanga Princess Bao 3-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba Queens Yaitungua Yanga Princess Bao 3-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Timu za watani wa jadi katika soka la Wanawake kati ya Simba Queens dhidi ya Yanga Princess, imechezwa jioni ya leo Ijumaa 05/03/2021 katika dimba la Uhuru Wilaya ya Temeke, Dar es salaam.

 

 

Katika mchezo huo Simba Queens imefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa magoli 3 kwa 0 dhidi ya mahasimu wao Yanga Princess. Magoli ya Simba yamefungwa na Nahodha Mwanahamisi Omary (30), Opah Clement (Penati, 43) na Joel Bukuru (50).

 

 

Kwa matokea haya ya leo, Simba Queens inashika usukani wa ligi ya wanawake kwa kuwa na Point 39 huku wakiwaacha watani wao nyuma kwa pointi moja yaani wakiwa na pointi 38.

 

 

Mtanange huo umeenda sambamba kabisa matukio yanayohusisha shughuli za Wanawake kuelekea kilele cha Siku ya Wanawake Duniani kinaadhimishwa machi 08, 2021. ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni Mwanamke #ChaguaKupambana.

The post Simba Queens Yaitungua Yanga Princess Bao 3-0 appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.