Sibomana: Madai Yangu ya Yanga Yamefika FIFA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Sibomana: Madai Yangu ya Yanga Yamefika FIFA-Michezoni leo

ALIYEKUWA kiungo mshambuliaji wa Yanga, Patrick Sibomana amesema kuwa tayari amewasilisha malalamiko yake mbele ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kuhusu madai yake dhidi ya Yanga na kuambiwa jambo hilo linafanyiwa kazi na atapata majibu ndani ya miezi mitatu hadi minne.

 

Sibomana amekuwa katika mgogoro wa muda mrefu na waajiri wake hao wa zamani kutokana na kuwadai kiasi cha dola 4,000, sawa na shilingi milioni 9.2, ambazo zinatokana na fedha za usajili pamoja na sehemu ya mishahara yake.

 

Pande hizo mbili zimekuwa zikiwasiliana mara kwa mara ili kutafuta suluhu, ambapo nyota huyo aliwapa muda hadi kufikia Machi Mosi na kama wasingefanya, hivyo basi angepeleka malalamiko yake Fifa.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Sibomana alisema: “Ni kweli nimepeleka rasmi malalamiko yangu Fifa kuhusu madai yangu dhidi ya Klabu ya Yanga, hii ni baada ya kushindwa kuwa na muafaka mzuri kuhusu malipo ya fedha zangu, hivyo nimefikisha malalamiko yangu katika eneo ambalo naamini haki itatendeka.

 

“Fifa wameniambia kuwa suala hilo linafanyiwa kazi, na watanipa majibu ndani ya miezi mitatu hadi minne.”Hivi karibuni kuhusu sakata hilo, Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa aliliambia Gazeti la Championi: “Ni kweli tumepokea malalamiko ya Sibomana na tunaendelea kulifanyia kazi suala hilo.”

The post Sibomana: Madai Yangu ya Yanga Yamefika FIFA appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz