Samatta: Tupo Tayari kwa Ajili ya Mchezo wa Equatorial Guinea-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Samatta: Tupo Tayari kwa Ajili ya Mchezo wa Equatorial Guinea-Michezoni leo

MBWANA Samatta, nahodha wa kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo Machi 25, 2021 dhidi ya Equatorial Guinea ambao ni maalumu kwa ajili ya kusaka tiketi ya kufuzu AFCON.

Stars chini ya Kocha Mkuu, Kim Poulsen iliweka kambi nchini Kenya ambapo ilicheza mchezo wa kirafiki mmoja dhidi ya Kenya na ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1.

Samatta amesema: “Tunatambua kwamba tuna kazi kubwa ya kufanya kusaka ushindi kwenye mchezo wetu dhidi ya Equatorial Guinea hilo lipo wazi.

“Ukweli ni kwamba mwalimu ambaye tupo naye anatutambua vizuri kwa kuwa nilifanya naye kazi kwenye timu za vijana na sasa tupo naye kwenye hii timu kubwa ni furaha kwetu.

“Mashabiki wazidi kutuombea dua ili tufanye vizuri nasi tutapambana ili kupata matokeo chanya kila kitu kinawezekana,” amesema.

The post Samatta: Tupo Tayari kwa Ajili ya Mchezo wa Equatorial Guinea appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz