Samatta Amchambua Kocha Mpya Stars – Video-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Samatta Amchambua Kocha Mpya Stars – Video-Michezoni leo

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kucheza mchezo dhidi ya Equatorial Guinea, Machi 25, 2021 ambao ni maalum kwa ajili ya kufuzu Afcon nchini Cameroon.

Kocha wa Taifa Stars, Kim Pouseln amesema utakua ni mchezo mgumu lakini wamejindaa kuivaa Guinea huku akiamini wachezaji wake.

Aidha, Nahodha wa kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Samatta, amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Equatorial Guinea ambao ni maalumu kwa ajili ya kusaka tiketi ya kufuzu AFCON.

Stars chini ya Kocha Mkuu, Kim Poulsen iliweka kambi nchini Kenya ambapo ilicheza mchezo wa kirafiki mmoja dhidi ya Kenya na ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1.

The post Samatta Amchambua Kocha Mpya Stars – Video appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz