Saido Arejea Rasmi Kazini-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Saido Arejea Rasmi Kazini-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

HATIMAYE kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga na timu ya taifa ya Burundi ameanza mazoezi rasmi mara baada ya kuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili.

 

Mara ya mwisho Ntibazonkiza kuonekana uwanjani ilikuwa Januari 12, mwaka huu katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Simba uliofanyika Visiwani Zanzibar.

 

Ntibazonkiza maarufu kwa jina la Saido ambaye alikuwa akisumbuliwa na majeraha ya nyonga tayari ameanza mazoezi katika kikosi cha timu ya taifa ya Burundi ambacho kinajiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya timu ya taifa ya Afrika ya Kati unaotarajiwa kufanyika Machi 26, mwaka huu.

 

Kiungo huyo amekuwa mhimili mkubwa kwa timu hiyo kwani tayari alifanikiwa kuifungia timu hiyo mabao mawili na kutoa pasi tatu za mabao katika michezo ya ligi kuu.

 

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Burundi Olivier Niyungeko alithibitisha kurejea kwa nyota huyo katika kikosi cha timu ya taifa hilo huku akisema kuwa hali ya mchezaji huyo imeimarika ila hajafahamu kama atamtumia katika mchezo unaofuata wa timu hiyo.

 

“Ntibazonkiza amerejea na tayari yupo katika kikosi chetu anaendelea vizuri na mazoezi, kuhusu kumtumia katika mchezo wetu ujao dhidi ya Afrika ya Kati bado sijajua kwani kama unavyofahamu mchezaji akitokea katika majeruhi anahitaji muda mzuri wa kukaka sawa,” alisema kocha huyo.

Stori: Marco Mzumbe, Dar es Salaam

MSUVA Awaita SIMBA UWANJANI, WAPENDA SOKA Watuma MAOMBI YAO kwa RAIS SAMIA SULUHU…..

The post Saido Arejea Rasmi Kazini appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz