RONALDO NA JOTA WAFUNGA URENO YAICHAPA LUXEMBOURG 3-1 -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

RONALDO NA JOTA WAFUNGA URENO YAICHAPA LUXEMBOURG 3-1 -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

URENO imeichapa Luxembourg 3-1 katika mchezo wa A kufuzu Kombe la Dunia jana Uwanja wa Josy Barthel, Luxembourg. Mabao ya Ureno yalifungwa na Diogo Jota dakika ya 45, Cristiano Ronaldo dakika ya 50 na Joao Palhinha dakika ya 80, wakati la Luxembourg lilifungwa na Gerson Rodrigues dakika ya 30.
Kwa ushindi huo, Ureno inafikisha pointi saba, sawa na Serbia, baada ya wote kucheza mechi tatu, wakati Luxembourg inabaki na pointi zake tatu katika nafasiya tatu, ikifuatiwa na Jamhuri ya Ireland na Azerbaijan hazina pointi
 
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz