Rapper Nas "Nyimbo za Hip Hop za Siku Hizi Hazinichukulii muda wangu, Kifupi Hazina Jambo" - EDUSPORTSTZ

Latest

Rapper Nas "Nyimbo za Hip Hop za Siku Hizi Hazinichukulii muda wangu, Kifupi Hazina Jambo"


Nas amesema hakuna msanii yoyote wa kizazi hiki ambaye anamnyima usingizi, na kwamba huwa hasikilizi nyimbo zao zaidi ya mara moja. Ni kama muziki wa sasa wa Hip Hop umekuwa hovyo. Kwenye mahojiano na Financial Times, Nas amesema


"Ninakubali kinachofanyika, lakini hakuna ambaye anauchukua muda wangu wa usiku kusikiliza kazi zake. Nasikiliza ngoma kali za Rap na ziko poa, lakini huwa sisikilizi tena wiki inayofuata." alisema Nas na kumtaja marehemu Pope Smoke walau alikuwa anamkosha.
No comments:

Post a Comment