Rais wa Barcelona Ashikiliwa na Polisi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Rais wa Barcelona Ashikiliwa na Polisi-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Rais wa zamani wa Barcelona, Jose Maria Bartomeu anashikiliwa na polisi nchini Hispania baada ya kuhusishwa na tuhuma ya kurubuni makampuni mbalimbali ya mitandao ya kijamii kuandaa kampeni maalum ya kuwashambulia watu na taasisi zilizokuwa zinapinga utawala wa Rais huyo.

 

 

Rais huyo ambaye alihudumu kwenye klabu hiyo kwa miaka 6 tokea mwaka 2014 hadi kujiuzuru kwake Oktoba mwaka jana, amekamatwa baada ya maafisa hao wa usalama kutembelea ofisi za klabu hiyo kwa ajili ya kusaka nyaraka muhimu zitakazo husika kwenye tuhuma hizo.

 

 

Baadhi ya makampuni yalitajwa kuhusika kwenye tuhuma hizo ni NSG Social Science Ventures SL, Tantra Soft SA, Digital Side SA, Big Data Solutions SA and Futuric SA nah ii ni kwa mujibu wa jarida la michezo la kuaminika nchini Hispania la ‘Marca’.

 

 

Licha ya kushikiliwa na polisi, lakini Bartomeu alikana kuhusika kwenye tuhuma hizo mwezi Juni maka jana.

 

 

Hii ni mara ya pili polisi hao kutembelea ofisi za klabu ya Barcelona na kufanya ukaguzi kuhusiana na kesi hiyo, kwani mwishoni mwa mwaka jana Jaji wa Mahakama inayosimamia kesi hiyo aliamuru klabu ikaguliwe na leo wamekagua kwa mara ya pili.

The post Rais wa Barcelona Ashikiliwa na Polisi appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz