Rais Samia kuwa Mwenyekiti wa CCM - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Rais Samia kuwa Mwenyekiti wa CCM

 


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, amesema kuwa Kamati Kuu imeelekeza kuwa ndani ya muda mfupi ujao utaitishwa mkutano mkuu kwa ajili ya kupendekeza jina la atakayekuwa Mwenyekiti wa chama hicho baada ya Dkt. John Magufuli, kufariki dunia.

 


Polepole ametoa kauli hiyo hii leo Machi 20, 2021, wakati akitoa mrejesho juu ya kile ambacho kimejadiliwa na Kamati Kuu iliyoketi leo kwenye ofisi ndogo za chama hcho zilizopo Lumumba Jijini Dar es Salaam na kusema kuwa, hawana jina jingine zaidi ya jina la Mhe. Samia Suluhu Hassan mbaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


"Kamati Kuu imeelekeza ndani ya muda mfupi kutoka leo, utaitishwa mkutano mkuu maalumu wa CCM ambao utakuwa na agenda moja ya kupendekeza jina moja tu na hatuna jina jingine jina ni la Rais Samia kuwa Mwenyekiti wa CCM," amesema Polepole.


Pia Polepole, amewasihi Watanzania kujitokeza kwa wingi kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli, "Kamati Kuu imeelekeza na chama kitatekeleza kwamba, wajumbe wote wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM hawa ni viongozi wenzake na Hayati Dkt. Magufuli wa kitaifa wenye dhamana ya usimamizi wa jumla wa chama watashiriki shughuli ya maziko kule Chato," ameongeza.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz