PSG Yaiondoa Barcelona Champions League-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

PSG Yaiondoa Barcelona Champions League-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Paris St Germain ilitoka sare ya 1-1 na Barcelona katika awamu ya pili ya kombe la klabu bingwa Ulaya nchini Ufaransa siku ya Jumatano usiku.

 

 

Kylian Mbappe alifunga bao la kwanza kupitia njia ya penalti dakika 30 baada ya mechi hiyo kuanza huku Lionel Messi akifunga dakika saba kabla ya kukamilika kwa mechi hiyo.

 

 

Kufuatia matokeo hayo Paris Saint Germain ilifuzu katika robo fainili ya kombe hilo. PSG iliishinda Barcelona kwa jumla ya magoli 5-2 nyumbani na ugenini baada ya kuilaza kwa magoli 4-1 katika uwanja wa Nou Camp mwezi Februari.

 

 

Hii ni mechi ya 13 kati ya timu hizo mbili katika kombe la klabu bingwa Ulaya huku Barcelona ikishinda mara tano na PSG mara tano.

 

 

Hii ni mara ya kwanza kwa mabingwa hao wa Uhispania kushindwa kufika robo fainali ya kombe hilo baada ya kufuzu kwa miaka 15 mfululizo.

 

 

Hatahivyo mkufunzi wa klabu hiyo Ronald Koeman amesema kwamba jinsi walivyoyaaga mashindano hayo kunaweza kumshawishi raia huyo wa Argentina kundelea ushirikiano wake wa muda mrefu na klabu hiyo.

 

 

”Leo {Messi} ameona kwa muda sasa kwamba timu hii inaimarika kutokana na mabadiliko tuliofanya”, alisema Koeman.

 

 

”Hususan , tuna wachezaji wachanga wenye uwezo mkubwa. Hatma yetu siku zijazo itakuwa nzuri . Leo hawezi kuwa na wasiwasi wowote kuhusu hatma ya timu hii”.

 

 

”Tunayaaga mashindano haya ya klabu bingwa kwa njia tofauti sana ukilinganisha na jinsi ilivyokuwa msimu uliopita.Katika mechi hii , tuliimarika na hbiyo ndio njia ya kufuata”.

 

Matokeo mengine
Liverpool 2-0 RB Leipzig

Borrussia Dortmund 2-2 Sevilla

Juventus 3-2 Fc Porto

The post PSG Yaiondoa Barcelona Champions League appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz