Polisi wafunguka video ya Rayvanny na Paula "Tunachunguza simu" - EDUSPORTSTZ

Latest

Polisi wafunguka video ya Rayvanny na Paula "Tunachunguza simu"Kesi bado inaendelea ipo chini ya upelelezi na haujakamilika kwa sababu ni upelelezi ambao sio wa mtu mmoja unahitaji wakati mwingine kupata expert evidence sio tu upelelezi wa Polisi Oysterbay itahusisha watu wengine kutoka nje ya Ofisi ya RCO.

“Mpaka sasa hivi bado mapema hadi tutakapokamilisha pande zote zinazohusika na Upelelezi, suala la muda ni vigumu kusema kesi na kesi inategemeana unaweza kukuta kuna mlolongo wa simu kwahiyo inahitaji kufatilia’- Polisi

‘Lakini hadi sasa hivi hakuna tunayemshikilia wote walishadhaminiwa wakati uchunguzi unaendelea, hadi sasa tulionao ni wale wale wawili pamoja na mtoto wake Kajala kwahiyo wapo watatu ambapo uchunguzi upo katika simu zao,” Kaimu Kamanda wa Polisi Kinondoni ACP, Japhet Kibona’- PolisiJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.