Penati ya Mugalu Yaua Shabiki wa Simba Ruvuma-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Penati ya Mugalu Yaua Shabiki wa Simba Ruvuma-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Shabiki wa Simba, Ally Rashidi Kuntika (71) mkazi wa Namtumbo mkoani Ruvuma alidondoka ghafla na kufariki dunia papohapo, baada ya Chris Mugalu kukosa goli la penati dhidi ya Tanzania Prisons.

 

 

Afisa Mtendaji wa Namtumbo, Geofrey Kalikawe amesema marehemu alikutwa na umauti akiwa katika “kibanda umiza alipokuwa akiangalia mpira na inaelezwa kuwa Simba walipopata penati alifurahi sana.

 

 

Mugalu alipokosa penati Mzee Kuntika aliinama kwa muda mrefu. Watazamaji waliokuwa wakishangilia walimsogelea ili kumdhihaki ndipo wakadhani amezirai lakini baadae waligundua amefariki dunia.

 

 

Mtoto wa marehemu, Barakati Ally Kuntika anaeleza kuwa baba yake alikuwa mpenzi wa timu ya Simba kindakindaki. Kuthibitisha hilo amesema baba yake aliwahi kutoa mbuzi timu ya Simba ilipopita Namtumbo ikielekea Songea.

The post Penati ya Mugalu Yaua Shabiki wa Simba Ruvuma appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz